PRESHA NI NINI?

_EMBU LEO TUFAHAMU KIDOGO KUHUSU PRESHA (PRESSURE)_ *UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA DAMU ) NA TIBA YAKE* ```🎴Kumbuka``` ; Kuna ÷ 1)shinikizo la damu la juu *(Hypertension)* 2)Shinikizo la damu la chini( *Hyportension)* *ILa leo tuangalie shinikizo la damu la Juu (HYPERTENSION)* Nini maana ya shinikizo la damu la Juu❓ ....Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. .... Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza damu,virutubishi,vitamin,protein,madini, oksijeni N.K Kuvipeleka sehemu mbali mbali za mwili nakutoa uchafu.... *SABABU ZA MTU KUUGUA UGONJWA WA PRESSURE (SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)* ☑Uvutaji sigara ☑ Unene na uzito kupita kiasi ☑Unywaji wa pombe ☑Upungufu wa madini ya potassium ☑ Upungufu wa vitamin D ☑Umri mkubwa ☑Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin) ☑Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin *UANISHAJI wa SHINIKIZO LA DAMU* ☑Presha ya kawaida <120 <80 ☑Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89 ☑Presha hatua ya 1 140-159 90-99 ☑Presha hatua ya 2 160-179 100-109 ☑Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110 *DALILI ZA UGONJWA WA PRESHA(SHINIKIZO LA JUU LA DAMU)* ☑Maumivu ya kichwa (Haswa nyuma ya kichwa mara nyingi nyakati za asubuhi), ☑Kuchanganyikiwa, ☑Kizunguzungu, ☑Kelele sikioni (Mvumo au Mazomeo masikioni), *MATIBABU YA PRESHA* Wahi kwenye kituo cha afya kilicho karibu yako...... Ili kuweza kupata USHAURI na tiba Nzuri kuhusiana na presha..... Lakin pia matibabu yaambatane na lishe yetu zuri kwa matokeo ya haraka zaid kwa mgonjwa wetu kwa dawa izi mbili kumaliza kabisa tatizo lako kwa Tsh120000 tu. tupigie sasa 0714965601/0752738748 https://wa.me/message/DKIZVV4AVS4YF1

Post a Comment

0 Comments