
MAUMIVU YA NDANI YA MIFUPA.
Maumivu ya ndani ya kifupa yanaweza kusababishwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na;
1. Maumivu ya mifupa( Osteomyelitis)
● Hutokea pale bacteria wanapoingia kwenye mfupa na kusababisha uvimbe na maumivu.
● Dalili zinaweza kujumuisha homa,uvimbe, na joto kwenye eneo linalouma.
2. Saratani ya mifupa.
● Aina fulani za saratani kama vile osteosarcoma na multiple myeloma zinaweza kusababisha maumivu makal ndani ya mifupa.
●Maumivu yanaweza yakawa makali zaidi usiku ja yanaweza kuongezeka kwabmuda
3. Upungufu wa madini( osteoporosis na osteomalacia)
●Upungufu wa madini kama kaisiamu,fosforas na vitamin D, unaweza kudhoofisha mifupa na kusababisha maumivu.
●Osteoporosis husababisha mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kirahisi.
4. Ugonjwa wa damu ( leukemia na Anemia ya seli Mundu)
●Leukemia( saratani ya damu) unaweza kuathiri uboho wa mfupa na kusababisha maumivu ndani ya mifupa
● Anemia ya seli mundu pia husababisha maumivu makali ya mifupa kutokana na kuziba kwa mishipa midogo ya damu.
5. Matatizo ya kinga( Arthris na Lupas)
● Magonjwa ya kinga kama lupas na rheumatoid arthritsi yanaweza kusababisha uvimbe unaoathir mifupa na kusababisha uvimbe unaoathiri mifupa na kusababisha maumivu ya kudumu
6.Majeraha na Shinikizo la muda mrefu.
● Majeraha ya moja kwa moja kwenye mifupa yanaweza kusababisha nyufa zisizoonekana ( stress fractures) na kuleta maumivu ya ndani ya mifupa.
● Shinikizo la mda mrefu kutokana na kazi au mazoez mazito linaweza pia kusababisha maumivu.
7. Ugonjwa wa Paget ( Paget's Disease of Bone)
Huu ni ugonjwa unasababisja mifupa kukua kwa njia isiyo ya kawaida na kusababisha maumivu na udhaifu wa mifupa.
NB.
Ikiwa mtu anasumbuliwa na maumivu ya ndani ya mifupa kwa mda mrefu au yanoyoambatana na dalili kama homa, udhaifu wa mwili au kupungua uzito pasipo sababu, ni vyema kumwona daktar kwa uchunguz zaid.
LAKINI PIA MSHAURI ATUMIE G-A NUTRITION KWA AJILI YA KUMUWEZESJA KUPONA KWA HARAKA ..SABABU LISHE YETU INAMADINI NA VITAMINI VINAVYOSAIDIA KUPAMBANA NA VISABABISH VYOTE VYA TATIZO ILO..UKICHANGANYA NA MATIBU YA DAKTARI...UNAPONA KWA HARAKA ZAIDI🙏🏽🙏🏽🙏🏽
KWA DAWA IZO MBILI ATAKUWA SAWA KAMA ALIVYOKUWA MWANZO KWA Tsh130000 tu
piga 0714965601/0752738748
https://wa.me/message/DKIZVV4AVS4YF1
0 Comments