SARATANI YA GOTI

NI NAMNA GANI G-A NUTRITION INAWEZA SAIDIA MTU MWENYE SARATANI YA GOTI. G-A Nutrition inaweza kumsaidia mtu mwenye saratani ya goti kwa njia zifuatazo; 1. Kupambana na saratani. ● Antioxidants; Lishe yetu ina viinilishe vyenye uwezo wa kupambana na saratani kama vile vitamin C, E na beta-carotene ambavyo hupunguza madhara ya radical huru zinazosababisha uharibifu wa seli. ● Squalene; lishe ina kiungo kinachoitwa squalene, ambacho tafiti zinaonyesha kuwa kinaweza kusaidia kupunguza ukuaji wa seli za saratani. 3. Kuimarisha kinga ya mwili. ● Mgonjwa wa saratani anahitaji kinga imara. Lishe yetu ina madini kama zinki,chuma, na magnesium, ambayo huimarisha kinga na kusaidia mwili kupambana na maambukizi. 3. Kurejesha nguvu na kupoteza damu. Saratani na matibabu yake kama chemotherapy mara nyingi husababisha upungufu wa damu na uchovu. Lishe yetu pia ina madini ya chuma na folate, ambayo husaidia uzalishaji wa damu mpya na kuongeza nguvu mwilini. 4. Kulinda mifupa na tishu. Saratani ya mifupa inaweza kudhoofisha mifupa na viungo. Lishe yetu ina madin kama calcium, phosphorus na manganese, ambayo husaidia kuimarisha mifupa na kusaidia katka uponyaji wa seli zilizoharibika. Ingawa lishe yetu haiwezi kutibu saratanj moja kwa moja ,inaweza kusaidia sana kupunguza madhara na kuboresha afya ya mgonjwa. Tupigie sasa kwa simu no.0714965601/0752738748 https://wa.me/message/DKIZVV4AVS4YF1

Post a Comment

0 Comments